Aunt Rahma Shopping Centre

Aunt Rahma Shopping Centre
Kariakoo/Tabata Muuzaji wa nguo mbalimbali za watoto na wakubwa kwa bei poa kutoka China na Dubai

Jumatano, 18 Novemba 2015

Mchezo huu sitausahau!!!Algeria vs Tanzania 7 0 . Watu wengi kama mimi tulikuwa na matumaini makubwa. Kilichotokea imekuwa kama miujiza. Sijui walikosea wapi!. wameshindwa hata kutawala mpira. Lakini wasikate tamaa,kuteleza si kuanguka. Bado tunayonafasi ya kujipanga kwa michezo ijayo****


Hakuna maoni:

Chapisha Maoni