Wakati wanaharakati mbali mbali duniani wakipambana kupinga ukatili kwa watoto,
huko nchini Kenya mtoto wa miaka 10 ambaye angetakiwa kuwa shuleni akisoma na kucheza na wenzake michezo mbali mbali, anapata jukumu la kumlea mtoto mwenzake.
Gladys chelagat alijifungua mtoto wake wa kiume mwenye uzito wa kg 2.8 katika hospital ya kericho nchini kenya.Hata.
.Hata hivyo Mungu ni mkubwa kwani pamoja na udogo wa mtoto huyu alijifungua salama bila ya kupata tatizo lolote la kiafya.