Aunt Rahma Shopping Centre

Aunt Rahma Shopping Centre
Kariakoo/Tabata Muuzaji wa nguo mbalimbali za watoto na wakubwa kwa bei poa kutoka China na Dubai

Jumatatu, 25 Mei 2015



“Happy Barthday My Prince”



Mwaka huu mwanangu ametimiza miaka 6. Alifurahi na watoto wenzake, pamoja na walimu wake katika sherehe yake ya kuzaliwa.
Watoto walimuimbia nyimbo mbali mbali za “birthday”. Pia kulikuwa na ngoma walizomuandalia “My Prince Muhammad”. Namshukuru mwenyezi Mungu kwa Baraka aliyonipa.
Alitoa zawadi  kwa walimu wake na wanafunzi wenzake. Hali kadhalika nao pia walimuletea zawadi mbalimbali, ikiwemo kalamu, kichengeo, michoro ya aina mbalimbali, vitabu n.k.
Ni mziwanda wangu huyu lo!. Alifurahi sana. Hakika nyota njema huanzia alfajiri. Namuomba mwenyezi Mungu amjalie hekima na akili ya kumpendeza yeye(Mwenyezi Mungu) na Wanadamu. Amin.
Picha nimeziweka lakini sijazipana kwa matukio...Enjoy...
                                         Muhammad aliingia katika Bustani na burudani






                                                          Keki inakatwa!!!!!!!


                                                            Wacha weee!!!!






                                                       Kaka zake walikuwepo lo!
                     Zawadi kwa Walimu nami pembeni nikimfungia zawadi mwanafunzo raha!!




                                              Akifurahia picha, zawadi alizoletewa na wenzake!





       Kila mtoto aliondoka na zawadi ya soda, Keki ya Be ten na Queen cake. Raha!!!
                                              Kuimba kipaji! haa haa haa! happy barthday 2 U!!!