Vichekesho vya Mtandao
JUHA;Nilimpigia Simu mke wangu akapokea hakusema "hallow" nikauchuna sikuongea mpaka pesa zote zikaisha!
ZOBA;Niligonga mlango mke wangu akafungua hakuniambia karibu nikasimama palepale mlangoni mpaka kesho yake nikageuza nikaondoka
ZUZU;Tangu nimuoe mke wangu hajaniita mpenzi nimegoma kukaa naye chumba kimoja hadi leo miaka 6 Wote wakamwambia wee muongo mbona una watoto wawili?.
ZUZU;Akajibu
mpaka leo sijamuuliza watoto ni wanani Nimenuna tu..!
Teh
teh teh…….
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni