Aunt Rahma Shopping Centre
Kariakoo/Tabata Muuzaji wa nguo mbalimbali za watoto na wakubwa kwa bei poa kutoka China na Dubai
Jumamosi, 17 Oktoba 2015
Vichekesho vya Mtandao
Baba mmoja alimuona mtoto wake akiandika sana ukutani ,mtoto wake alikuwa ameanza darasa la kwanza.
Baba-Mwanangu hodari sana baada ya kuhitimu masomo yako ungependa kufanya kazi gani?
Mtoto:Ningependa niwe mwalimu
Baba:kwann umeipenda?mara ya mwisho uliniambia unataka ufanyekazi benki Uwe na hela za kununukia peremende,mbona tena umebadili?
Mtoto:Ili baadaye niwe mke wa rais
Jisajili kwenye:
Maoni (Atom)




















