Safari Dubai kupitia Qatar nikiwa na familia yangu.
Matukio mbalimbali katika picha.
Ilikuwa ni safari niliyoambatana na familia yangu. Lengo ni kutembea katika nchi hiyo yenye vivutio vya kitalii. Pia nikawa na wazo ambalo nimeliandaa katika safari hiyo,litakamilika hivi karibuni.
Nimejifunza mambo mengi nchini humo.Na kuvutiwa na mambo mbalimbali ya Dubai.
Baadhi ya nilivyojifunza na kuvutiwa navyo:-
1. Air port ya Dubai na Qatar ni kubwa, nzuri na zinavutia
2. Majengo marefu kama la Burj Khalifa na barabara zake,ukiachilia mbali mpangilio wa makazi.
3. Uaminifu kutoka serikalini mpaka kwa raia wa kawaida. Nilisahau Simu 2 mpya za gharama ndani ya gari nikaletewa.
4.Biashara zinaendelea hadi usiku na hakuna uhalifu wa aina yeyote. Uaminifu asilimia 98.
5.Mall zake kubwa zina bidhaa nyingi kutoka nchi mbalimbali
6.Usalama barabarani. Kuna kifaa cha kuomba gari isimame ili uvuke.Kwa hiyo hata wazee hawasumbuki.
7. Gharama za Tax zimewekwa katika mashine, unalipa kulingana na mwendo wako. Na si gharama kubwa kama ukichukua gari binafsi.
8. Tamasha la Dubai Expo 2020.
9. Gharama za chakula siyo kubwa. Lakini hoteli inategemea n wakati gani umeenda!.
Na mengine mengi.....
Dubai Air port
Qatar Air Port
Qatar air
Mitaa ya Al jazera-Deira-Dubai
Jirani na hoteli ya Emirates niliyofikia
Nje ya Budai- Mall
Wanangu wakiwa ndani ya Dubai mall
Ansar Super Market- Deira
Michezo ya barafu-Emirates Mall-Dubai
mwanangu Shaaban
Chini nikipiga picha matukio nikikiwa katika moja ya sehemu za maonyesho Dubai Expo 2020
Wanangu
Mwanangu mdogo akiwa katika michezo ya watoto Funny city-Reef Mall
conatulation
JibuFuta